Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,289
Kuna moja nilmesahau.. Inaitwa Toyota Porte....
Mmh. hii gari sijui wajapani waliwaza nini...
Japo kuna mtu anaipenda kupindukia
Ungeiona Nissan Cube ndio ungeshangaa zaidi maana muonekano wake tu unatisha
