Nissan inauzwa milioni mbili tu

Nissan inauzwa milioni mbili tu

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,942
Reaction score
802
Gari aina ya nissan inauzwa tsh milion mbili tu, ni ya diesel na ni manual na inatembea,cc 1890 ImageUploadedByJamiiForums1385367458.813170.jpg ImageUploadedByJamiiForums1385367478.869615.jpg ImageUploadedByJamiiForums1385367503.512260.jpg
 
Hapa utakesha ndugu yangu, hakuna mnunuzi wala mtu wa kuulizia gari ya kununua hapa! Hivi unawajua vizuri watu waliomo humu?
 
Cc 1890????? Namba AGB????? Manual???? Hata milioni moja sinunui. Hii gari peleka makumbusho ya taifa au DIT au Veta au NIT ili wanafunzi wakajifunzie walau kupaka rangi na mambo mengineyo kuhusu magari. Halifai kwa matumizi ya binadamu!
 
Vifaa vya Nissan vipo juu sana.ukinunua uwe nalo Makini.kama linatembea no bora ukaangalia halo yake.
 
Cc 1890????? Namba AGB????? Manual???? Hata milioni moja sinunui. Hii gari peleka makumbusho ya taifa au DIT au Veta au NIT ili wanafunzi wakajifunzie walau kupaka rangi na mambo mengineyo kuhusu magari. Halifai kwa matumizi ya binadamu!

Sijakuomba ununue wala uchangie huu uzi, kama hauna la kucoment kaa kimya, watu kama nyie hata baiskeli inakushinda kununua
 
Cc 1890????? Namba AGB????? Manual???? Hata milioni moja sinunui. Hii gari peleka makumbusho ya taifa au DIT au Veta au NIT ili wanafunzi wakajifunzie walau kupaka rangi na mambo mengineyo kuhusu magari. Halifai kwa matumizi ya binadamu!

Huna uelewa wa magari. cc 1890 sio mwaka lililotengenezwa. Unashangaa AGB hujaona AAA huko barabarani? Tusiwe tunatoa comment za kukomoana na kukatishana tamaa bila kuchambua usahihi wa coment zetu. Osaba gari inauzika kabisa hiyo kitu maelewano tu!
 
Last edited by a moderator:
Hili gari kama ingekua namba ya zamani ingekua ni TZ 90

Mkuu hiyo gari si ya zamani kabisa mini niliuziwa na ubalozi wa Marekani na ilikaa sana gereji kwa sababu pump yake iliharibika nikawa naitafuta nilipoipata niliifunga ndio nikaitoa gari garage ss hivi iko poa sana namba za zamani ni tzc
 
Mkuu inaonekana vifaa vyake adim sana,ilikaa gereji miaka mingapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom