Nissan Caravan inauzwa

Nissan Caravan inauzwa

Baba Jazey

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
508
Reaction score
572
Mwaka : 2000
Mafuta : dizel
Rangi : silver
Cc : 3150
Model : QD
Bei: 14 m
Mawasiliano: 0767 425555,Arusha
Sababu za kuuza: nataka niongezee ninunue gari nyingine ya biashara. Gari iko vizur na imetumika mwaka mmoja tangu itoke japan

IMG_20160414_183342.jpg
IMG_20160414_183315.jpg
IMG_20160414_183247.jpg
 
Asaante kwa taarifa mkuu
Kwanza jitathmini kwenye Bei kwa Nissan.
Gari ipo vizuri inamaana unaiuza kwa sababu fulani hivi.
Ila akifika mtu 10m,muuzie haraka sana
 
Una planning nzuri japo mimi namiliki baiskeli tu lkn naamini watakuja
 
Asaante kwa taarifa mkuu
Kwanza jitathmini kwenye Bei kwa Nissan.
Gari ipo vizuri inamaana unaiuza kwa sababu fulani hivi.
Ila akifika mtu 10m,muuzie haraka sana
Nashukuru kwa ushauri mzuri, bei inapungua mkuu
 
Back
Top Bottom