Nathan James
Member
- Apr 12, 2017
- 59
- 28
Naomba Msaada. Nina NISSAN AXIX/XTRAIL 2005 NT30. ODO 120,000
Kwa sasa, baada ya maatumizi ya Miaka 2. Lilianza kushindwa kupanda muinuko, kuna fundi akashauri tuondoe Muffler - Kuna kifaa fulani kwenye Muunganiko wa Engine na Exhaust), Gari ikonyesha kuweza kupata Nguvu ila ilikuwa inatoa Mlio mkubwa.
Baada ya hapo, Sasa naona kuna tatizo kwamba, ninapokuwa barabarani, gari inakosa nguvu na kushindwa kwenda, hata nikikanyaga Mafuta mpaka mwisho haiendi, and mara inashtka na kupata kasi.
Fundi niliempelekea ameshindwa kunipatia Majibu sahihi kuwa tatizo ninini.
NIKO ARUSHA.