Nisome I.T chuo kipi

Nisome I.T chuo kipi

Nina four ya 31 na ninahitaji kusoma I.T he itawezekana wapendwa naombeni ushauri wenu jameni na chuo kipi nisome.
Mengi yatasemwa na wengine watakukatisha tamaa. Kama umependa IT kwavyuo ambavyo vinaoperate chini ya NACTE kinachotakiwa ni ufaulu wa kiwango kisichopungua D kwenye masomo 4 masomo yeyote isipokuwa yale ya DINI. Lakini kuna vyuo vichache vinapendelea masomo kama ya science hivi, lakini vingi vinakudai D4 tu. Ukiwa na ufaulu wa hisibati na kingereza inapendeza zaidi.
Ingia NACTE utafute Admission guides zao za 2019-20 utaweza kujua vyuo vinavyo fundisha IT na vinataka ufaulu wa aina gani.
 
OK asante
 
nenda HQ pale Ucc Udsm.. Unasoma bila wasi wasi dogo.. Utaanza cheti..na diploma ipo pale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom