Haiwezekani. Kama una 4 ya 31 halaf usome IT, utaishi a sup kisha discoNina four ya 31 na ninahitaji kusoma I.T he itawezekana wapendwa naombeni ushauri wenu jameni na chuo kipi nisome.
Kujiunga unatakiwa uwe na four ya ngap
Asi kukatishe Tamaa nenda kapambane.Haiwezekani. Kama una 4 ya 31 halaf usome IT, utaishi a sup kisha disco
Hahah bro acha kumkatisha tamaa. Wapo waliosoma it na hizo marks na wakapasua. It is all down to mtu binafsi na amejiandaaje.Haiwezekani. Kama una 4 ya 31 halaf usome IT, utaishi a sup kisha disco
Kujiunga unatakiwa uwe na four ya ngap
Siamini
Nina D4 na C1 itawezekana kusoma lakin