Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,060
- 4,845
…
BashiteNimekuwa mhudhuriaji mzuri sana humu jf hata kabla ya kufungua ID yaan nimetamani hata kutumia shortcuts kutokana na kuwa inspired na hawa jamaa humu jf
ONTARIO
Honestly huyu jamaa namwelewa kutokana na nyuzi zake conc , nimeingiwa na tamaa ya maisha mpaka nikafikiria kuacha shule niingie kitaa
MACMELO
Huyu jamaa naona kama anaingiza mkwanja sanaaa kutokana na kituu hii
Amahakika nataka kuwa kama ninyi wakubwaa !!! Je wewe kijana wa jf nani ana kuinspire humu
aseehBashite
Kwa ulozi auJr mshana