Nisikilizeni, Chadema EALA, Mwongezeni Wema Sepetu, Here is Why!

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Please hear me out!

2) Ikishindikana, Basi Mpeni Nafasi ya Rip Hon. Dr. Elly Macha, Mtakuwa Mtuma Msg Kubwa sana Kwa Wasanii Kuwa Chadema kamwe hakitawatumia na Kisha Kuwatupa kwenye Dust bin au Kuwabashitelize ati ni Walevi wa Madawa! Chadema Kuna Usemi Wa kale Usemao, Ukiwa Unatembea safari Ndefu ya Miguu, Likashuka Wingu Jeupe Kimiujiza Likikuambia panda lift Nikusindikize Uendaka Utakuwa Mjinga sana Ukikataa! Kumwinua Wema Kutatuma Msg Kubwa sana kwa Vijana na Wasanii. Sitasema yote hapa, ingawa wema simjui hanijui, Najua kwa yaliyoendelea Tangu 2015 Mpaka 2017, Najua Masanja Mkandamizaji alivyojinajisi Kumkebehi Lowassa ni Mgonjwa Lakini alipotaka Jimbo la Rip Filikunjombe la Rudewa CCM walimpa kura 4. Nisikilizeni, Nilishasema Mkimpa Lowassa Tikiti 2015 Mtashinda Urais, Mkashinda Bara na Zanzibar, CCM walipora Computer na Kupokonya Ushindi na Ndio hasa sababu ya Kumshikia Nape Bastola kwa Kuwa walishikwa na Tumbo la kuniniii wakidhani Nape atamwaga Ugali wa jinsi "Bao la Mkono" Lilivyochezwa 2015.
 
Ni sawa kaka Marandu ila Kielimu Wema Elimu yake haitoshi Wakenya na Waganda watatusema, wanamjua mitandaoni. Angerudi shule akajipatia walau Ka first degree angefaa. Ubunge wa kimataifa wanafaa kina Masha.Wema ni beautiful ila kule hatuendi Kuposa". Nimekumbuka miaka ile ya "Boys to Men", Nyerere alisema Hatujakuja hapa kuposa kama unamtaka kampe Chai"!
 
Akapate first degree kwa kutumia cheti kipi? Cha kulea Mashoga na kubwia unga?
 
Mtaji namba moja wa siasa ni Mtu mwenye wafuasi wengi, anayepedwa na Wengi au Menye Uwezo wa Ukushawishi, Kama hilo wewe hulitambui subiri labda Mungu akikupa maisha by 2217 Utaelewa
Wafuasi wa Wema, Mange na wote wa hivyo ni watu wasio na shughuli maalum, wajinga, wambea, wenye upeo Mdogo na wasio na elimu. Hakuna mtu makini anamchukulia wema seriously including CDM. CDM wenyewe wanajua wema ni kanjanja Basi tu hawawezi kataa member. Hii ni fact

Ni aibu hata kuwaza tu Wema kuwa mbunge.
 
Kama ni wasanii mbona Prof J na sugu wapo mjengoni ama unataka Wabunge wote wawe wasanii tu mkuu
 
Please hear me out!

2) Ikishindikana, Basi Mpeni Nafasi ya Rip Hon. Dr. Elly Macha, Mtakuwa Mtuma Msg Kubwa sana Kwa Wasanii Kuwa Chadema kamwe hakitawatumia na Kisha Kuwatupa kwenye Dust bin au Kuwabashitelize ati ni Walevi wa Madawa! Chadema Kuna Usemi Wa kale Usemao, Ukiwa Unatembea safari Ndefu ya Miguu, Likashuka Wingu Jeupe Kimiujiza Likikuambia panda lift Nikusindikize Uendaka Utakuwa Mjinga sana Ukikataa! Kumwinua Wema Kutatuma Msg Kubwa sana kwa Vijana na Wasanii. Sitasema yote hapa, ingawa wema simjui hanijui, Najua kwa yaliyoendelea Tangu 2015 Mpaka 2017, Najua Masanja Mkandamizaji alivyojinajisi Kumkebehi Lowassa ni Mgonjwa Lakini alipotaka Jimbo la Rip Filikunjombe la Rujewa CCM walimpa kura 4. Nisikilizeni, Nilishasema Mkimpa Lowassa Tikiti 2015 Mtashinda Urais, Mkashinda Bara na Zanzibar, CCM walipora Computer na Kupokonya Ushindi na Ndio hasa sababu ya Kumshikia Nape Bastola kwa Kuwa walishikwa na Tumbo la kuniniii wakidhani Nape atamwaga Ugali wa jinsi "Bao la Mkono" Lilivyochezwa 2015.
 
Wafuasi wa Wema, Mange na wote wa hivyo ni watu wasio na shughuli maalum, wajinga, wambea, wenye upeo Mdogo na wasio na elimu. Hakuna mtu makini anamchukulia wema seriously including CDM. CDM wenyewe wanajua wema ni kanjanja Basi tu hawawezi kataa member. Hii ni fact

Ni aibu hata kuwaza tu Wema kuwa mbunge.
You are right!
 
Ni sawa kaka Marandu ila Kielimu Wema Elimu yake haitoshi Wakenya na Waganda watatusema, wanamjua mitandaoni. Angerudi shule akajipatia walau Ka first degree angefaa. Ubunge wa kimataifa wanafaa kina Masha.Wema ni beautiful ila kule hatuendi Kuposa". Nimekumbuka miaka ile ya "Boys to Men", Nyerere alisema Hatujakuja hapa kuposa kama unamtaka kampe Chai"!
Unajua elimu ya wema?au unakariri
 
Please hear me out!

2) Ikishindikana, Basi Mpeni Nafasi ya Rip Hon. Dr. Elly Macha, Mtakuwa Mtuma Msg Kubwa sana Kwa Wasanii Kuwa Chadema kamwe hakitawatumia na Kisha Kuwatupa kwenye Dust bin au Kuwabashitelize ati ni Walevi wa Madawa! Chadema Kuna Usemi Wa kale Usemao, Ukiwa Unatembea safari Ndefu ya Miguu, Likashuka Wingu Jeupe Kimiujiza Likikuambia panda lift Nikusindikize Uendaka Utakuwa Mjinga sana Ukikataa! Kumwinua Wema Kutatuma Msg Kubwa sana kwa Vijana na Wasanii. Sitasema yote hapa, ingawa wema simjui hanijui, Najua kwa yaliyoendelea Tangu 2015 Mpaka 2017, Najua Masanja Mkandamizaji alivyojinajisi Kumkebehi Lowassa ni Mgonjwa Lakini alipotaka Jimbo la Rip Filikunjombe la Rujewa CCM walimpa kura 4. Nisikilizeni, Nilishasema Mkimpa Lowassa Tikiti 2015 Mtashinda Urais, Mkashinda Bara na Zanzibar, CCM walipora Computer na Kupokonya Ushindi na Ndio hasa sababu ya Kumshikia Nape Bastola kwa Kuwa walishikwa na Tumbo la kuniniii wakidhani Nape atamwaga Ugali wa jinsi "Bao la Mkono" Lilivyochezwa 2015.

Yaani huyo mbwia unga kajiunga juzi tu chadema mumpe ubunge wakati kuna wanachadema wengi wazuri wapo hawajapata nafasi za uwakilishi...!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom