Nishaurini: Nisomee mining engineering, electrical engineering au cyber security ?

Asante sana mkuu.

Nazingatia sana!!!
 
IT,Computer science,Telecom engineering,Electrical engineering,piga moja wapo ya hizo,utaishi kwa raha mtaani
 
Kijana CCC pcm au pcb sio masihala

Acheni kumtishia dogo, CCC PCM ni ngumu? Mko serious kweli?
 
Soma kozi inaitwa electrical and electronic(BEEE) hapo utakuwa umeulaa dogo.option ya pili tafuta kozi inaitwa structural engineering udsm nafikiri wanayo.
 
Labda jwa upande, we nenda kasome tuu hiyo PCM then ushaur utaomba 2020 kwa sababu miaka inatofautiana inaweza koz fulani ikawa na soko mwaka huu lkn mwaka mwengin isiwe na soko so cha kufanya we kapambane na CHAND's the mwaka huo utakaomaliza ndo utaomba ushaur wa kozi gan ukasomee kulingana na kozi gqn inasoko kwa mwaka huo.
Natumain umenipata sana.
 
yaan ww dogo n mseng.e hata advance hujafika unawaza chuo.fck.
soma kwanza ufaulu vzr.
 
Sawa mkuu .Hila napenda kujipanga mapema kwa mfano PCM advance Nina 1.9 yani CCC .(tuchukulie ivyo )
Kuhusu changamoto advance naelewa.

Lengo langu ni kujua apo coz gani ni nzuri zaidi na kwanini nisaidie apo mkuu.

Nisaidie apo mkuu
unapataje ccc wacha ukilaz.a mzee....udsm huwez kwenda nenda teku ndo size yako.
 
Advanced hamna vigezo kujipanga kiuchaguzi, ngoma ni flat rate kila nyanga.... Unataka kujipangaje? Don't complicate life.
 
Kasome advance afu ndo uje...maana huchelewi kuja soma education...advance nyoso sana
 
yaan ww dogo n mseng.e hata advance hujafika unawaza chuo.fck.
soma kwanza ufaulu vzr.
Hii comment yako na matusi sio tu imedhihirisha kwamba wewe ni mjinga ila pia inaonyesha hujui kuandika!! na kwa kuna uwezekano huyo unayemuita dogo amekuzidi sana kiwango cha IQ!!
 
Hii imetulia Sana azingatie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…