Nilikuwa naomba ushauri wenu
Mimi ni mwanafunzi nlieitimu kidato cha NNE mwaka 2017.
Pia nilikuwa nataka nkasome advance PCM alafu
Chuo nisome cyber security ,hila nasikia kunatatizo LA ajira katika course hiyo.
Kwahiyo nishaurini nichukue mining engineering, electrical engineering au cyber security ajira zipo nisome hiyo hiyo.
Na pia katika ushauri wenu naomba mnipe sababu kwanini unashauri ivyo
(Wataalam naombeni ushauri apo)