Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,011
- 10,163
Ni kweli mkuu though unatakiwa uangalie fani ambayo moyo wako inapenda na kwanini umeichagua hiyo ili ukienda kumwomba mtu ushauri unakuwa unaonekana una malengo flani kisha si mbaya ukaangalia na fani zingine ambazo zinaonekana ni deal machoni pa watu kwani unaweza ukapata ushauri mzuri kiasi kwamba ukaona uchaguzi wako wa awali ni batili lakini kikubwa lazima hizo fani zingine ulizoshauriwa uwe na uwezo nazo. Nikiangalia ECA na EGM hapo kama ni kusoma ni fani yoyote kwani zote zinashabiana kikubwa O-level uwe umesoma nini na ulikuwa kichwa, kwa vyovyote wewe umesoma Commerce na Book keeping O level na ukafaulu vizuri na ndio maana unaumiza kichwa uchukue nini kati ya EGM na ECA. Kama ni mie ningechukua EGM ili nipanue wigo wangu wa uelewa kwa kuongezea Economics huku masomo ya Commerce na Book keeping nikiwa nimeyasoma O-level ambayo yatakuja kunisaidia wakati nataka ku-join chuo. Nimeshaona watu walisoma PCB leo hii ni wahasibu sasa kwa maana hiyo hata wewe utakaosoma EGM nadhani unaweza kuwa na wigo mpana wa kuchagua fani including hizo za uhasibu kwani tayari O-level tayari ulishayagusa na kiukweli kabisa kwa fani nyingi ni masomo ya O level yanabeba kwani kama ulikuwa kilaza O leve ila ukafaulu kwa bahati na A level kama uli-balance comb ukapata zali ukaingia chuo usomaji huwa ni msuli sana tofauti na mtu ambae alikuwa bright o levelApo jodoki nmekuxoma kumbe cha kuzingatia ni kukomalia ktabu fan yeyote inakutoa