FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,094
- 1,358
Wataalamu WA Mambo, nawasalimu..
Najua wengi mnafatilia kwa ukaribu issue ya Drugs na hawa vijana WA Kigwangala.Naomba niwatoe kidogo hukoo..
Ni hivi..
Mrembo huyu,alikuwa Ni wa ndugu yangu,mda mrefu umepita kabla hawajaachana.Jamaa aliniunganisha nae sababu tulikuwa Ni wanafunzi wote..
Tulipiga story,na offcoz zilikuwa Ni za kishemej zaidi.Hakuwai kuniona na wala sikuwa na mpango wa kumuona kwa sura.Inshort hatukuwa na mpango WA kujuana..
Baada ya mda flani,waliachana na jamaa,na hapo urafiki Kati yangu nae ukaanza kuzizima km filter ya sigara.Tukawa hatutafutani,no call no message..
Sasa Jana ikabidi niingie Facebuk,nakuta request,moja inajina km lake,naikomfirm hapo hapo inaingia mesej.nagundua kilichompelekea anijue,Ni majina ya mwisho, bas mtoto WA mjini nazama fasta kwny gallery yke,japo sio mpenzi WA kupost picha,lakini hizo zilizopo zikatosha kunipa real image yake.Yuko sawa aiseee
Sikutaka kumkurupukia,basi bda ya siku km mbl nkampigia.Bda ya salamu nkamwomba tuonane,cha kushangaza akakubali straight ka vile kaitwa na bwana mchungaji yani..
Sasa wakuu hapa nipo kwenye sintofahamu,hii papushka inalika au nivunje promis Tu,nisije Kula shoti kiboya. Nitumie mbinu gani ya kivita ili niifanikishe hii papushka..