nishaurini jamani maana simuelewi

6alfabet

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
389
Reaction score
69
imenikuta mimi mwenzenu kuna dinti nilimpenda kiukweli nae alionyesha kunipenda lakini tulitofautiana navyo jua kukiwa natofauti nikuya maliza lakini cha ajabu nikimpigia cm apokei na akipokea anaongea atakavyo mwishoe nikaji kaza wakiume siku moja akanitamkia anitaki tena na mimi bado nampenda ila simuelewi sasa ananipigia cm ananiambia eti tuyaonge yaishe je"atakuwa ni mkweli" na mimi siko tayari kwa sababu alisha nitenda
 
Ameshaachwa huyo huko alipokuwa anajipeleka,achana nae hana mapenzi ya kweli.
 
Kama hauko tayari na una uhakika na neno hauko tayari,unaomba ushauri wa nin?

ha? kwani ugomvi ndugu da duu ni mtam sema ndoivo naisi kashaenda kutumika au mgonjwa mmm.
 
sasa wewe haupo tayari sisi tufanyaje tena? Haya fungua moyo nakushauri UWE TAYARI
 
Trust your guts. Vumilia yale ambayo unajijua utaweza yavumilia maisha yako yote. Otherwise chukua ndogo ndogo
 
Nenda tuu mupendane kwa aman,,kuna kitu kinaitwa second chance
 
yani uyu kwa jinsi alivyo tu mmm! sisemi asanteni kwa ushauri wenu.
 
Kama jongoo vile kagonga ukuta lazima arudi alikotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…