Nisamehe we mama tuliyekutana kwenye bus; nikwambie tu mi sio tajiri kama nilivokuongopea

Wake za watu wanaliwa aisee mjini hapa we acha ,ukute anadaiwa mkopo ambao mumewe hajui ,atalika kila mtaa
Hii mikopo ndio inawamaliza,kuna mmoja nazani ile K yake itakuwa imebadilika rangi aiseee,maana ilifikia kipindi anasanya mpaka buku 5.
 
Mwamba umetisha Sana mi mwenyewe ishanikuta hii Mzee , daah kwenye group watsap nikadaka demu mjeda nguo za maboga Mzee Toto la kichaga , mtoto mkali kinoma , sound za hapa na pale demu kanielewa nikampanga bhana mi namiliki Duka kubwa Sana la electronics , demu kadata , si kapata likizo sasa kaenda home kwao , Ile anarud kanichek anataka apite gheto ...daah those days gheto langu miyeyusho kinyama , alaf yeye nilivyomsoma yupo fresh Sana kimaisha.

Nikampanga kwamba bro yupo gheto Kesho anaflight so atalala gheto kama vip nikukute stend alaf tuyajenge , demu kwel kanielewa , kafika stend kanisubir mwamba nikatinga na cowboy kama ya Mzee Neyo.

Eeh bhana demu kaita shuttle moja ya hotel fulan , shaaaa mpak hotelini, demu kalipia chumba fresh, kaniagizia menu Kali kinyama, kanipa story zake za kutosha ...kama kawa Mzee skuchelewa nikatomasa zigo likalainika nikachapa usku kucha ....morning nikamsindikiza stend , ....tukawa tunawasiliana demu kadata kweli kweli so vizinga vikaaanza ooh nataka niboost biashara yangu nahitaji 5mil , nikopeshe ..mhhhh

Mara Mili 1 ,ooooh Mzee nikachora kwenye Kona shaaaaaaaa mazima nikapotea hewani. ..

Mimi mwenyewe kapuku hata Duka la electronics sina Mzee those days nilikuwa naishi kama popo asee.
kumbe wanaume waongo sana kwenye kumendea mizigo ya pisi kali eeeh
 
Hivi wake za watu mnanini lakini?
Usimwamini kila mwanamke akikwambia ni mke wa mtu. Wadangaji wameshajua wanaume wanavutiwa sana na wake za watu, kuna kipindi ilikuwa kila mdangaji ni mwanafunzi wa chuo.
 
Back
Top Bottom