Nisamehe we mama tuliyekutana kwenye bus; nikwambie tu mi sio tajiri kama nilivokuongopea

Kuna mtu anatembeaga na mafuta ya babycare anaonekana anagadhabu mno maana kila saa anasonyasonya na kulaumu nahisi ni mume wa yule mama anakutafuta
 
Hii ishawah ntokea,maza akanielewa knoma.
Siku ya kwanza katest kama Nina pesa,bahat nzur sku hyo nilikuwa nazo,nkatoa burungutu la elfu mbili mbili nyingi Mpya nkachomoa kutoka kwenye kile kkaratas chake sio rubber band.
Nikampa 30,000 bila kupepesa macho.Zingine nkarudsha mfukon

Basi siku nyingne nikawa napewa kipochi manyoya bure,tena kwa show show.
Kumbe yule maza ananivutia muda ikifika Christmas, anichomoe pesa ya maana.
Bahati mbaya hiyo 23/12/2014 sikuwa na kitu,ikabidi nipotee mazima,maza alinitafuta bila mafanikio
 
We na huyo Maza wote ni wahuni Tu wa mjini 🤣
 
Kwani kulikuwa na haja gani kutaja kabila lake bila kutaja lako?
Kutaja kabila inasaidia waume kuchuja kuwa mhusika sio mkewe. Mtu anapohadithia kisa cha kumla mke wa mtu, baadhi ya wanaume huwa wanaanalyse kama huyo mtu anaweza kuwa mkewe. Fikiria wake za watu wangapi wanachakarika jatika biashara.
 
Wake za watu wanaliwa aisee mjini hapa we acha ,ukute anadaiwa mkopo ambao mumewe hajui ,atalika kila mtaa
 
Hii ishawah ntokea,maza akanielewa knoma.
Siku ya kwanza katest kama Nina pesa,bahat nzur sku hyo nilikuwa nazo,nkatoa burungutu la elfu mbili mbili nyingi Mpya nkachomoa kutoka kwenye kile kkaratas chake sio rubber band.
Nikampa 30,000 bila kupepesa macho.Zingine nkarudsha mfukon

Basi siku nyingne nikawa napewa kipochi manyoya bure,tena kwa show show.
Kumbe yule maza ananivutia muda ikifika Christmas, anichomoe pesa ya maana.
Bahati mbaya hiyo 23/12/2014 sikuwa na kitu,ikabidi nipotee mazima,maza alinitafuta bila mafanikio
Ohooo nawe yamekukuta
 
Back
Top Bottom