Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,073
- 34,844
Mkuu Solarpanelninakuongezea ujuzi mwengine akufanyie mume wako nao ni hivi:Asante sana mzizi mkuu kwa ushauri mzur,mengi ya hayo ananifanyia mume wangu,ila nimetek point kuwa mengine nimuoneshe nitaufanyia kaz na nitaleta fidbak hapa....kana loh nilisema naomba ushaur sahihi huo wa kwako ni wa kejel cjaupenda na siko tayar,ona aibu badilika,....mzz mkuu nilimjibu mjumbe pale juu kuwa ciipend japo ikitokea nikafanya ndo naenjoy.asante
Kweli wewe ni JF Senior expert member yaani posts zaidi ya 1000 una thanks 8? Haya sasa naona unataka Mke wa mtuDada yangu Solarpanel, nikiwa kama JF Senior Sexpert, nakupa offer ya mafunzo ya wiki moja tu. Ni inbox venue yoyote ambayo ni convenient kwako tukutane nikupe mafunzo kwa vitendo bure kabisa!!!
kwenye red mimi bado kuelewa wewe! unafurahia halafu hupendelei?!