Pole sana, kwani imekuwaje?Habari wana jukwaa.kwa mara ya kwanza naomba mnisaidie.je kuna tofaut kati ya KUPENDA na KUJALI? Mtu anaweza kukuambia nakupenda halaf haonyesh kukujali?mf. Yuko radhi akukwaze kuliko amkwaze mtu mwingine akijua baadae atakuomba msamaha na huna jinc utamsamehe...natumai mmenielewa mcntukane jaman nsaidien
Arif niaje? Hujalalamo mpaka mida hii? Hebu nambie ushafanya uchunguzi ukajua kama huyu mtu ni he au she?Kupenda kupo ndani ya Kujali...kama unakijali kitu au mtu basi lazima hali hiyo iambatane na kupenda.
Lakini kupenda pekee sio lazima ujali, ni ile hali ya kutimiliza kiu ya uhitaji. Mathalani unaweza kulipenda gari la rafikiyo ila kwa kuwa halipo katika himaya yako huwezi kusema unalijali.
Kujali ni zaidi, huambatana na kutunza au kuthamini kile ukipendacho.
Arif niaje? Hujalalamo mpaka mida hii? Hebu nambie ushafanya uchunguzi ukajua kama huyu mtu ni he au she?
Ahsante kwa taarifa mpwa, ngoja ni do the needful.Aisee mpwa ninafunga mafaili ya MMU kabla ya kilalamo...
Huyu kwa mwandiko wake, inaonesha ni SHE...
Ahsante kwa taarifa mpwa, ngoja ni do the needful.
Wewe tena? Wewe ni malovee tu. :A S-heart-2:hivi huwa unanipenda au unanijali? Sikuelewi elewi.
Habari wana jukwaa.kwa mara ya kwanza naomba mnisaidie.je kuna tofaut kati ya KUPENDA na KUJALI? Mtu anaweza kukuambia nakupenda halaf haonyesh kukujali?mf. Yuko radhi akukwaze kuliko amkwaze mtu mwingine akijua baadae atakuomba msamaha na huna jinc utamsamehe...natumai mmenielewa mcntukane jaman nsaidien
Wewe tena? Wewe ni malovee tu. :A S-heart-2:
Afu unajua navokumisi we msichana?
mimi je?
Kila nikikuwaza namaliza kichane cha ndizi.
Utakuwepo kwenye mashindano ya nyama choma?
Twende tukashow love kwa Fyatanga
Unaulizia meno mdomoni? Saa nne kamili natia timu Leaders.mimi je?
Kila nikikuwaza namaliza kichane cha ndizi.
Utakuwepo kwenye mashindano ya nyama choma?
Twende tukashow love kwa Fyatanga
mimi je?
Kila nikikuwaza namaliza kichane cha ndizi.
Utakuwepo kwenye mashindano ya nyama choma?
Twende tukashow love kwa Fyatanga
Halafu hii kitu ni lini best...nimeitamanije???
Unaulizia meno mdomoni? Saa nne kamili natia timu Leaders.
Fyatanga na iheshimiwe na watu wote.
natafuta twisheni ya kuibia watu mapenzi na kuwatapeli. unaweza kunielekeza chuo husika? ai amu fomu foo gradyuate (source: le mutuz)
wahanga wa mapenzi watakujibu hii madaHabari wana jukwaa.kwa mara ya kwanza naomba mnisaidie.je kuna tofaut kati ya KUPENDA na KUJALI? Mtu anaweza kukuambia nakupenda halaf haonyesh kukujali?mf. Yuko radhi akukwaze kuliko amkwaze mtu mwingine akijua baadae atakuomba msamaha na huna jinc utamsamehe...natumai mmenielewa mcntukane jaman nsaidien
King of endless worthI just come to you jesus with the heart of worship its all about you Jesus, i am very sorry for how I sin against you Lord, its all about you Jesus....