chukua hii mkuu ni best, idownload na uifanyie installation. Then fungua document yako ya word au hata ukichapa nenda kwenye save as itakuletea ile window ya kusave sa chini ya pale ambapo uwa una name jina la doc, kuna sehemu imeandikwa save as type click hapo utaona pdf ndo uchague kisha save. Baasiii yani document inakuwa fresh kuliko kutumia converter. http://download.microsoft.com/downl...b6-4031-aa98-0a3db7403d0f/SaveAsPDFandXPS.exe
power point fungua ms power point, chagua template anza kuandika unachotaka na hakikisha kila slide haina zaidi ya mistari 7 ikifika saba anza new slide baada ya hapo unaweza chagua transition kwa kila slide