Kuna trip ya kwenda kigali mwezi wa nane kwa ajili ya mkutano wa kidini. tumeambiwa tubebe bidhaa za kitanzania ambazo tunaweza kwenda uza huko. naomba ushauri wenu nipeleke nini?
Dr tamaduni zetu na wao karibu zinafanana haswa kwenye hizo bidhaa ndogondogo za kitamaduni...
Mwaka jana nilipata kupita kwenye banda la Wanyarwanda pale sabasaba, nikakutana na vitu vingi tu vya kitamaduni kama ambavyo vinauzwa Soko la vinyago Mwenge(Dar), au hapo Arusha opposite na ofisi za Mkuu wa Mkoa(sijui kama lile soko bado lipo)...
kama unaenda kwa ajili ya dini fanya dini, kama unaenda kibiashara fanya biashara ila ukichanganya mara zote biashara itaimeza dini na kama ni dini ndio kusudio hutaambulia kitu
kama unaenda kwa ajili ya dini fanya dini, kama unaenda kibiashara fanya biashara ila ukichanganya mara zote biashara itaimeza dini na kama ni dini ndio kusudio hutaambulia kitu
Tajiri sana, naenda kidini ila siku ya mwisho kutakuwa na maonyesho ndiyo maana tumeshauriwa kubeba bidhaa zetu za kitanzania. najua sitaambulia patupu.