kuweka kwa OS X kwenye mashine za windows inafanyika kwa style moja inaitwa hackintosh. ila compatibility ya OS X na laptop za windows ni variable as inadepend on alot of factors. for the best results, unatakiwa utumie a Nehalem microarchitecture based mashine na kuendelea (yaani core i3, i5 & i7 1st gen). processor za AMD pia inawezekana lakini ni usumbufu zaidi. pia, kufanya hackingtosh sio kazi ndogo, lazima ujue unachofanya, otherwise utafail. kwa pita pita zangu sijawai kutana na kijana hapa bongo ambaye ameweka mac OS kwenye mashine yake lakini vijana kama e2themiza, chief-mkwawa, C6 , Kang na Aqua watakuwa watundu wa kutosha na wao kujaribu. mi binafsi nimejaribu kwenye mashine tofauti, mpaka kwenye mashine ya P4 na nimeweza zingine na kufail zingine. ila ujue hutapata services kama za kupitia mac book. kama unataka kuweka, nitakueleza yote niliyofanya na kupitia na kusaidia niwezavyo.
pia, unaweza tumia kitu kinaitwa Vitual Box. nitakuja kueleza ni nini hicho usiku nikiwa on a PC. as always, leh