Kati ya Ndoa zinazofungwa ni chache sana ambazo kuna Kupendana Mapenzi ya dhati kwa wote wawili na ni bahati sana kuipata , Ndoa nyingi Binaadamu wanaoa na kuolewa kwa sababu ya .............tofauti tofauti kama uhakika wa Maisha , Umri unaenda , Baba kasema , Kwao Mboga saba nk