oxlade
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 601
- 96
msaada wenu tafadhali, tablet yangu ni os ya android 4.0.3 ics, haina sehem ya sim card, nkiwa kwenye wireles inakubali vzuri ila nkiwa sehem ambayo haina wireless kila nkichomeka modem haikubali kusoma, inaonyesha 2 kuwa usb imeingia ila haisomi ktt, nsaidieni tafadhali