ama kweli wewe wajua maana ya tundatamu. Nakupenda manake wajua utamu wa tunda la mke mzuri alonalo kaka yako ingawa yeye halioni.
Kwangu mm mkataa pema pabaya pana mwita, na waswahili husema mtoto akililia wembe mpe.
Najua kaka yako anatumia nguvu ya kiume tu kwamba ni mwanaume kesha zaa hana jinsi, ni kweli kwani maji yakisha mwagika hayazoleki lkn amesahau kwamba anatakiwa kuyarekebisha makosa yake, kwa kumwonyesha mkewe kwamba anajuta alolifanya na yuo tayari kulirekenbisha kosa hili ili kulinda ndoa na penzi kwa mkewe.
Wifi yako, anatakiwa aangalie kama mume hana mapenzi nae na wala hajali kama kakosea ni wazi ata akibaki atazidi kunyanyasika tu la msingi b4 its late aanze maisha mapya na mungu atamasaidia. Ni bora akaish alone pasi iyo ndoa kuliko kuish na cheater ambae hajutii wala haoni kama anakosea tena asiye thamani mapenzi ya mwenzie.
Dawa chungu huwa
inaponyesha. Mpe support huyo wifi yako, muambie unaheshimu maamuzi
yake. Ila wifi yako angeondoka tu ili kakako ajifunze. Na kiboko cha
Mungu hakipo mbali, ujue saa hizi kinainuliwa juu na kinashuka soon.
Muache dada wa watu aondoke, nobody notices what you do unless you
stop!
Jamani nina kaka angu ameishi na mwanamke mpaka wanawatoto wawili hajafunga ndoa, mwezi uliopita kaka akasema anataka kufunga ndoa na mkewe tukaenda kwao na wifi kutoa mahari. Juzi wifi kapata habari kuna dada ambaye ni x-girlfriend wa kaka anamimba ya kaka. wifi amekata tamaa siku mbili tu namuona amekonda nahisi ataondoka jamani wifi yangu nampenda hivi hata mama presha zimepanda kwa kile alichokifanya kaka baba yeye kamwambia tu kaka hilo balaa silitaki katika familia yangu,namtambua mke mmoja tuliyemtolea mahari hao malaya wako sitaki kuwasikia.wifi yangu ni mke jamani hata kaka aliwahi kukiri, alafu huyo mdada mwenye mimba ni mcharuko balaa. tumemuuliza kaka amekili alichofanya ila haonyeshi kujuta wala kumuhurumia mkewe na watoto anajibu jeuri na dharau kama hawezi kuvumilia mwache aende,aniachie watoto wangu.anafikiri akiondoka ndo atapata mwanaume mtakatifu.yaani huyu kaka kama kachanganyikiwa mpaka aibu mwezi uliopita tu tulipeleka mahari tukitegemea mwezi wa pili mwakani wafunge ndoa . tuwasaidieje hawa watu jamani wifi ni mcheshi lakini toka juzi hata haongei jana nimeshinda huko kwa kaka wifi hata kula shida.leo namuuliza kaka anajibu bado jeuri wifi yako atakufa kwa wivu usiku kakesha anafanya kazi kafua, kadeki kaosha vyombo,kanyoosha nguo mpaka asubuhi,atakuwa anajiandaa kwenda kwao.naona kaka hajui anachokifanya atapoteza mke.nisaidieni nimsaidie kaka angu.
ama kweli wewe wajua maana ya tundatamu. nakupenda manake wajua utamu wa tunda la mke mzuri alonalo kaka yako ingawa yeye halioni.
kwangu mm mkataa pema pabaya pana mwita, na waswahili husema mtoto akililia wembe mpe.
najua kaka yako anatumia nguvu ya kiume tu kwamba ni mwanaume kesha zaa hana jinsi, ni kweli kwani maji yakisha mwagika hayazoleki lkn amesahau kwamba anatakiwa kuyarekebisha makosa yake, kwa kumwonyesha mkewe kwamba anajuta alolifanya na yuo tayari kulirekenbisha kosa hili ili kulinda ndoa na penzi kwa mkewe.
wifi yako, anatakiwa aangalie kama mume hana mapenzi nae na wala hajali kama kakosea ni wazi ata akibaki atazidi kunyanyasika tu la msingi b4 its late aanze maisha mapya na Mungu atamasaidia. ni bora akaish alone pasi iyo ndoa kuliko kuish na cheater ambae hajutii wala haoni kama anakosea tena asiye thamani mapenzi ya mwenzie.