shasil alonso
Member
- Mar 12, 2013
- 27
- 1
habari! Mimi ni kijana umri wa miaka 21 nahitaji/napenda kujiunga na jeshi la nchi, yoyote mwenye moyo wa kunisaidia anisaidie, coz nilikosa nafasi mwezi wa kwanza 2014, mtaani sina ajira yoyote
Duu kweli umeamua

Ww kweli raia wa tznia au umetumwa na kagame
Ha ha haaa kweli dogo kesha chemka.Dogo hufai kwa maana wewe unataka jeshi kwa shida ungesema unataka kulinda nchi ungefaa.