habari wapendwa,naomba msaada wa kina nimezaa na mwanaume matarajio ye2 ilikuwa 2funge ndoa lkn haikuwa ridhki amefnga ndoa na m2 mwingne pacpo kunijulisha kwa sasa mtoto ana miaka 3 hvyo anahtaji ma2nzo je nifanye nn kwan kila niwaclianapo na mzazi mwenzangu hat cm hapokei ni mfanyakazi,wapendwa nahtaji ushauri wenu