ubora wa picha za camera hupimwa kwa kitu kinachoitwa mega pixels. kwa hiyo unaponunua camera yenye mega pixels nying zaid na ubora wa picha unaongezeka. kawaida camera nying zinaanzia mega pixels 6,8,10.11 na kuendelea. so ukiweza kununua yenye mega pixels nying kama 14 na kuendelea na bora zaidi. huo ndo msaada naoweza kukupa ndugu