Huo muda wa kutaka ufanye kazi kwa kujitolea nakushauri fungua genge, au uza juice, uza chakula kwa oda, uza chips, uza vinywaj... Utapoteza muda na nguvu na utakua umejiongezea umasikini...
Ila vijana miaka hii someni course zenye uhakika wa ajira hizo course zenu mnazo zipenda hazina soko hata kujiajiri nazo hamuwez...