Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 476
Nina uzoefu wa miaka zaidi ya kumi serikalini na mashirika yasiyo ya kiserikali kwa vyeo vya Project officer hadi Project Manager kwa miradi ambayo ni ya donor funded wa kimataifa. Nina master degree ya Arts (rural development). Lakini kwa sasa kazi ninayofanya hainiridhishi kabisa na tena haiendani sana na taaluma yangu. Najua humu wamo wakubwa wa taasisi mbalimbali mnaingia, naombeni mkono wenu basi maana kila niki apply naishia level ya usaili tu.