Kaaazi kweli kweli. .
Wewe ni mwanaume au mvulana?
habari zenu wana jf natumaini wengi wenu hamjambo . jamani kuna msichana tuko naye course moja nampenda sana nataka awe mchumba wangu, leo tukiwa darasani niliamua kukaa naye karibu alivyoniona akatabasamu huku akiniangalia machoni hapo ndipo moyo wangu ulinasa kama sumako nikahisi kuchanganyikiwa sijamtokea nipeni njia za kumpata
mwanaume
Ungekua mwanaume usingeomba msaada wa kutongoza. Subiri ukue kue kidogo, usije ukarudi ukilia.
habari zenu wana jf natumaini wengi wenu hamjambo . jamani kuna msichana tuko naye course moja nampenda sana nataka awe mchumba wangu, leo tukiwa darasani niliamua kukaa naye karibu alivyoniona akatabasamu huku akiniangalia machoni hapo ndipo moyo wangu ulinasa kama sumako nikahisi kuchanganyikiwa sijamtokea nipeni njia za kumpata
kaa nae tena karibu wakati wa lecture,mkikutana macho sogea karibu yake...m-kiss,ujumbe utakuwa umefika.....!
We dearest unataka mtoto wa watu aitiwe mwizi au apewe kipondo? Nimejaribu kufikiria mtu akinifanyia hivyo. . Duh sipati picha.
ha ha ha haaaaaaaaa, amesema,leo kakaa nae karibu wakaangaliana, yule dada akatabasamu, manake kuna connection...ndo nimemshauri, wakae tena karibu ila safari hii apige hatua moja mbele kwa kumbusu shavuni....anaweza akambusu pia....lol
Zingatia masomo kwanza,upate kazi na mkwanja watakufata wenyewe wala hutahitaji kuhangaika kutafuta namna ya kumtongoza.
pstep ya kwanza mwambie mambo..
step ya pili mwambie nimefurahi kukusalimia..
step ya tatu mwambie akupe jina la FB au ID ya JF ili muwezekusocialize...
step ya nne utaongea nae kwenye inbox au PM kwa kuwa wewe ni domo zege
kila la kheli mtongozaji..