Rmma Member Joined Sep 15, 2013 Posts 67 Reaction score 5 Mar 19, 2014 #1 Kiwanja changu chenye ukubwa wa robo heka kipo Chanika,nataka kukiuza ila sijajua bei.Wadau nisaidieni nikiuzeje?
Kiwanja changu chenye ukubwa wa robo heka kipo Chanika,nataka kukiuza ila sijajua bei.Wadau nisaidieni nikiuzeje?
Tayo zeboss JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 467 Reaction score 196 Mar 19, 2014 #2 Mkuu ucjali wenye kazi zao wanakuja sasahv
Lady niece JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 953 Reaction score 414 Mar 19, 2014 #3 niuzie mm kwa 1.5 milioni naitaji kama utapenda Rmma said: Kiwanja changu chenye ukubwa wa robo heka kipo Chanika,nataka kukiuza ila sijajua bei.Wadau nisaidieni nikiuzeje? Click to expand...
niuzie mm kwa 1.5 milioni naitaji kama utapenda Rmma said: Kiwanja changu chenye ukubwa wa robo heka kipo Chanika,nataka kukiuza ila sijajua bei.Wadau nisaidieni nikiuzeje? Click to expand...
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,976 Mar 19, 2014 #4 Rmma said: Kiwanja changu chenye ukubwa wa robo heka kipo Chanika,nataka kukiuza ila sijajua bei.Wadau nisaidieni nikiuzeje? Click to expand... We ulikinunua kwa bei gani na kwanini wataka kukiuza?
Rmma said: Kiwanja changu chenye ukubwa wa robo heka kipo Chanika,nataka kukiuza ila sijajua bei.Wadau nisaidieni nikiuzeje? Click to expand... We ulikinunua kwa bei gani na kwanini wataka kukiuza?
chaUkucha JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,382 Reaction score 1,221 Mar 19, 2014 #5 Asprin said: We ulikinunua kwa bei gani na kwanini wataka kukiuza? Click to expand... kitakuwa cha urithi so hajui thamani yake!
Asprin said: We ulikinunua kwa bei gani na kwanini wataka kukiuza? Click to expand... kitakuwa cha urithi so hajui thamani yake!
Rmma Member Joined Sep 15, 2013 Posts 67 Reaction score 5 Mar 19, 2014 Thread starter #6 Kiwanja ni cha urithi,ckununua na sababu ya kuuza kwa vile sina mpango wa kuishi Chanika.Ninaishi mji kasoro bahari.
Kiwanja ni cha urithi,ckununua na sababu ya kuuza kwa vile sina mpango wa kuishi Chanika.Ninaishi mji kasoro bahari.