Sikia tu...Hatari sana asee
MeJinsia yako samahani lakini
Duuu.. kwa kweli mimi ni ME ...
Thanks
NdioNi mwalimu au??
Na sharti upate kazi ya ualimu tu ama yeyote unafanya?Ndio
Naniliu.. kulongaze kijana wenu hano wanu anataka masaada wenuDuuu.. kwa kweli mimi ni ME ...
Hapana kaka...nshafanya hiyo kwa miaka7 sasa..nijaribu nyanja zingine tuNa sharti upate kazi ya ualimu tu?
Nakutumia email inbox. Nitumie CV yako. Sikuahidi chochote mzee wangu lakini acha nione kama nitaweza kuwa na msaada hata wa kifikra.Hapana kaka...nshafanya hiyo kwa miaka7 sasa..nijaribu nyanja zingine tu
Pole mkuu,hiyo kazi ya upikaji vipi haikulipi vizuri?Mungu, majirani na members nisaidieni. Msinipe hela bali kazi
Ni miaka 8 tu toka nihitimu chuo, pinch nayopitia si mchezo utadhani nimekaa miaka 20. Naombeni mnishike mkono nitoke kwenye hali hii. NAJIKUTA KAMA SITAIONA KESHO HIVI.
Nalima kwa bidii, private schools nimefundisha. Kwa sasa napambana kupika na kuuza vyakula (mgahawa) lakini..
Nivuteni mwanenu. CHONDE!
ThanksNakutumia email inbox. Nitumie CV yako. Sikuahidi chochote mzee wangu lakini acha nione kama nitaweza kuwa na msaada hata wa kifikra.
Hahaahaahahahaaa..tutakuja kakaNataka nifungue kampuni ya kutengeneza sumu, nahitaji vijana 20 kama tester, karibu.