Nisaidieni katika hili

Kijana mdogo sana unataka kuanza maisha namna hiyo!!

Any way, kila la kheri.
 
Ingekuwa ni nyumba za ibada unahudhuria hivyo, mbinguni ungeenda kwa kupaa.
 
Endelea vivyo hivyo, naamini utapata unachokitafuta mubashara kabisa bila chengachenga.

Unaona, ubaunsa wa club ni kazi rahisi eeeeh!? Ngojea siku, mlevi ambaye pia ni baunsa atakapo-kunywea chupa moja tu ya bia ili aje akudunde ndiyo akili zitakurudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…