Nisaidieni katika hili waungwana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni katika hili waungwana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by msikivuTz, Sep 8, 2012.

 1. m

  msikivuTz Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 25
  Heshima kwenu nyooote, jaman mi nimeajiriwa serikalini mwez wa 3 mwaka huu kuja kituro mbeya, kusema ukwel hali ya hewa ya huku imenishnda, nataman nihamie kituo cha kuzalisha mbegu (sperm) pale NIC ARUSHA, ila cjui nianzeje! plz nisaidien procedures
   
 2. m

  msikivuTz Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 25
  kwa kuongezea tu ni kwamba hapa kituro na hicho kituo cha kuzalisha mbegu za kiume za ng'ombe cha hapo arusha tupo idara moja ya livestock production and marketing.
   
Loading...