. Kazi IPOtafuta head phone zake orijinal halafu angalia voice command unayotaka ifanye kazi halafu bonyeza button ya kupokelea simu huku ukiwa umeng'ang'ania kisha utasikia au kuona ikisema uongee baada ya mlio
tafuta head phone zake orijinal halafu angalia voice command unayotaka ifanye kazi halafu bonyeza button ya kupokelea simu huku ukiwa umeng'ang'ania kisha utasikia au kuona ikisema uongee baada ya mlio