Nisaidieni jamani

Nisaidieni jamani

bigi 8

Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
19
Reaction score
3
Mimi ni kijana wa miaka 24 mwezi wa December kuna msichana nilikutana naye wakati natoka morogoro kuja Dar es salaam katika basi ,nikapiga naye stori mwisho wa siku tukabadilishana namba za simu tukaendelea kuchat kama kawaida katika basi baada ya Siku kuu kuisha nikarudi zangu chuo Sua morogoro basi siku moja nikamtongoza yule demu katika simu kiswahili kikawa kingi mara aseme yuko single mara aseme yuko na mtu wake na simu akawa hapokei basi nikaamua kumpotezea maana yuko form 6 mwezi ujao anafanya mtiani na kwenye simu apatikani maana yuko boarding .Niko njia panda je akimaliza form 6 niendelee kumfuatilia au nimpotezee huyo mrembo
 
Pole mwanachuo. kwa hiyo uko dillema sio? kati ya kuendelea na kutoendelea, So ushauriwe nini? ili nini? na matokeo ya hiyo nini ni nini? hadi uwe njia panda kiasi hicho? Na kama ameshakuambia ana mtu hadi na simu akawa hapokei huoni umekuwa kero mwanchuo? na umemtongoza kwa sababu alikupa namba ya simu na mkaanza kuchat au una lengo la maana?
 
Nakubaliana na maswali(critical) ya Tized,

Sio kila mtu unayebadilisha nae njia za mawasiliano(namba za simu, barua pepe n.k) lazima ufanye ulichofanya. Lengo lako kwake ni nini?..mfano, kwanini usiheshimu uamuzi wake kuwa ana mtu??..sawa inaweza kuwa ni kweli hana mtu na ni sababu tu za kukuepuka lakini iwapo hata mtu na anafanya anachofanya(kukukimbia/kukuepuka) unadhani anafanya jambo baya??..yaani umekutana naye december (obviously ni late december kwani atakuwa anajiandaa na mitihani)..na sasa ni January(tayari alikwisha rudi shule)..hata kama kuonana/kufahamiana zaidi mlifahamianaje? muda gani?..kumbuka hapa ninaongelea PHYSICALLY!!

Ni vigumu sana msichana(MWENYE AKILI ZAKE) kukuelewa ikiwa ndani tu ya mwezi mmoja kufanya yote haya!!Tulia, kuwa mvumilivu kijana otherwise ndiyo utakuwa/uko katika lile kundi lisemwalo kila leo "vijana wetu wa vyuo, vijana wetu wa vyuo"
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Umefunguka vizuri sana. Bigi 8 zingatia hii elimu apa.

mara aseme yuko na mtu wake na simu akawa hapokei basi uambiwe nini ujue hakupendi au hadi akuchape fimbo
 
Pole mwanachuo. kwa hiyo uko dillema sio? kati ya kuendelea na kutoendelea, So ushauriwe nini? ili nini? na matokeo ya hiyo nini ni nini? hadi uwe njia panda kiasi hicho? Na kama ameshakuambia ana mtu hadi na simu akawa hapokei huoni umekuwa kero mwanchuo? na umemtongoza kwa sababu alikupa namba ya simu na mkaanza kuchat au una lengo la maana?

Kiukweli huyo demu nimetokea kumkubali ,na tulikuwa tumeshazoeana mpaka kukutana
 
Siamini kama kwa nafasi yako ya kuwa mwanachuo unayepaswa kuwa umeelimika unafaa. Unamng'ang'ania wa nini iwapo ameishagundua kuwa huna lolote la kumfaa? Hujui siku hizi watoto wanataka watu wa kuwapa mshiko waishi maisha yao ya ndoto za kipuuzi? Badala ya kupoteza muda wako na mambo ya kipuuzi piga kitabu hayo yatakuja yenyewe.
Mimi ni kijana wa miaka 24 mwezi wa December kuna msichana nilikutana naye wakati natoka morogoro kuja Dar es salaam katika basi ,nikapiga naye stori mwisho wa siku tukabadilishana namba za simu tukaendelea kuchat kama kawaida katika basi baada ya Siku kuu kuisha nikarudi zangu chuo Sua morogoro basi siku moja nikamtongoza yule demu katika simu kiswahili kikawa kingi mara aseme yuko single mara aseme yuko na mtu wake na simu akawa hapokei basi nikaamua kumpotezea maana yuko form 6 mwezi ujao anafanya mtiani na kwenye simu apatikani maana yuko boarding .Niko njia panda je akimaliza form 6 niendelee kumfuatilia au nimpotezee huyo mrembo
 
kama hili tu limekutatiza, mitihani unafauluje?
 
Kijana soma kwanza bado una safari ndefu ya kukamilisha ndoto zako? ukiwa sawa baadae utaona hayo mambo ni rahisi kuyatenda kiasi cha kuwa rahisi kuharibu maisha yako. Au unataka kusema ulikuwa single kabla ya kumuona huyo? achana nae pengine Mungu anakuepusha na matatizo kwani mapenzi yana mambo mengi sana kuliko unavyofikiri.
 
We keshakwambia kuwa ana mtu bado unang'angania, we kilaza kweli unataka mpaka akutukane ndo uamini? Ndo maana kabadili namba kuepuka usumbufu. Piga tabu kwanza mapenzi bdae
 
mimi ni kijana wa miaka 24 mwezi wa december kuna msichana nilikutana naye wakati natoka morogoro kuja dar es salaam katika basi ,nikapiga naye stori mwisho wa siku tukabadilishana namba za simu tukaendelea kuchat kama kawaida katika basi baada ya siku kuu kuisha nikarudi zangu chuo sua morogoro basi siku moja nikamtongoza yule demu katika simu kiswahili kikawa kingi mara aseme yuko single mara aseme yuko na mtu wake na simu akawa hapokei basi nikaamua kumpotezea maana yuko form 6 mwezi ujao anafanya mtiani na kwenye simu apatikani maana yuko boarding .niko njia panda je akimaliza form 6 niendelee kumfuatilia au nimpotezee huyo mrembo

umejiunga leo na kuanza kuandika madudu kama vile mtoto wa fomu tuu. Fisadi sio lazima awe rostam hata wewe unatumia hela zetu za bodi ya mikopo kifisadi kwa kuwa huna hadhi ya kuwa mwanachuo
 
Back
Top Bottom