Hahah...ukishafunga mahesabu basi hakikisha tule tuchenji unafanya mpango wa kututuma kwa mzee mzima walau akafanyiwe hata pedikyua...btw unajua hapo ndio kasmaili??
Btw: Hivi unajua kitendo tu cha kuianika hiyo fesibuku yako umesababisha watoto wote kulikimbia jukwaa....usiniulize kwa nini, ni kwamba fesibuku kama hiyo hutumika kutishia watoto wasiopenda kulala..