Nisaidieni hili kuhusu TCU second round selection

Nisaidieni hili kuhusu TCU second round selection

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,289
Wakuu kuna mdogo wangu aliniomba nimsaidie kuapply chuo education ya science nikamsaidia,
Juzi nikafungua nikakuta hajachaguliwa first round so nikatakiwa kufanya second round application, cha ajabu katika kufanya second round application nimekutana na zilezile kozi nilizoapply 1st round kwenye vyuo vile vile.
Niliapply
-Bsc. With education DUCE nimeikuta tena second round(maanaake haikujaa first round)
Bsc. With education UDOM nayo vilevile nimeikuta hii second round.

Vigezo anavyo maana points anazo 4.5 na amesoma CBG

Sasa najiuliza hawa watu wana maana gani?
Natafakari kuwaibukia kesho kwenye ofisi zao nikiwa na ile list ya first round maana niliiprint ili wanipe sababu zinazoeleweka nisije nikaziapply tena nikaumia!
 
Matatizo tu ya system apply tena fasta visije vikajaa
 
mkuu hiyo Bachelor of arts with education DUCE haipo second round angalia vizurii acha wenge
 
mkuu hiyo Bachelor of arts with education DUCE haipo second round angalia vizurii acha wenge

Mkuu leo jioni wamebadili tena na wamerudisha kozi zote za second round na wanataka uapply kozi 5 na deadline ni tar 30!
Ni kama first round tu tofauti ni kuwa kozi ni chache.
Education with science DUCE nimeiona mkuu!
 
Jaman student profile mbona haiprint au cjakamilisha kujaza!!!!!
 
huyo mdogo wako anawezekana applictn zake hazikufika tcu
 
Wakuu kuna mdogo wangu aliniomba nimsaidie kuapply chuo education ya science nikamsaidia, Juzi nikafungua nikakuta hajachaguliwa first round so nikatakiwa kufanya second round application, cha ajabu katika kufanya second round application nimekutana na zilezile kozi nilizoapply 1st round kwenye vyuo vile vile. Niliapply -Bsc. With education DUCE nimeikuta tena second round(maanaake haikujaa first round) Bsc. With education UDOM nayo vilevile nimeikuta hii second round. Vigezo anavyo maana points anazo 4.5 na amesoma CBG Sasa najiuliza hawa watu wana maana gani? Natafakari kuwaibukia kesho kwenye ofisi zao nikiwa na ile list ya first round maana niliiprint ili wanipe sababu zinazoeleweka nisije nikaziapply tena nikaumia!

Nenda kawasikilize, mi wangu kapata CBG point 8 sawa na 2.7gpa na kakosa round ya kwanza
 
Back
Top Bottom