Samaki Nchanga
Member
- Dec 31, 2018
- 95
- 55
Wakuu naombeni msaada wa kiufundi au hata ushauri
Desktop yangu ana ya dell haisupport usb yoyote hivyo haikubali mouse wa keyboard sijajua nafanyaje maana nilipeleka kwa fundi kuwekea Ram sasa sijui km imeaharibiwa huko ama lah lakini naombeni msaada kuna uwezekano wa kurejea kama kawaida na kwa njia gani?
Nawasilisha......
Sasa mkuu moderm ntaweka wapi wakati port zote hazisomi yaan hata mouse na keyboardUnadriver pack solution yoyote?kama huna tumia modem uunge internet kisha Google online driver pack solution then utainstall driver zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kutoa CMOS Battery then washa, ikizingua Tafuta PCI card ya USB Ports hii nahisi itakuwa na microcontroller yakehivyo zitafanya kazi kama ya Motherboard itakuwa imeleta shida,Wakuu naombeni msaada wa kiufundi au hata ushauri
Desktop yangu ana ya dell haisupport usb yoyote hivyo haikubali mouse wa keyboard sijajua nafanyaje maana nilipeleka kwa fundi kuwekea Ram sasa sijui km imeaharibiwa huko ama lah lakini naombeni msaada kuna uwezekano wa kurejea kama kawaida na kwa njia gani?
Nawasilisha......
Asante mkuu naweza kuupata wapi na gharama zake km unaweza kunisaidia maana kuna mtu aliniambia ninunue motherboard no any means but naona umenipa jibu la kitaalam zaidJaribu kutoa CMOS Battery then washa, ikizingua Tafuta PCI card ya USB Ports hii nahisi itakuwa na microcontroller yakehivyo zitafanya kazi kama ya Motherboard itakuwa imeleta shida,
View attachment 989715
Mother board sh ngapi?Asante mkuu naweza kuupata wapi na gharama zake km unaweza kunisaidia maana kuna mtu aliniambia ninunue motherboard no any means but naona umenipa jibu la kitaalam zaid
Sijajua bei yake maana nlivyoulizia kwa mshikaji flani anayedeal na hizo mambo akaniambia mpaka atafute kwahy sijajua mkuu
All the bestSijajua bei yake maana nlivyoulizia kwa mshikaji flani anayedeal na hizo mambo akaniambia mpaka atafute kwahy sijajua mkuu
we upo mkoa gani? kama ukikosa hiyo tafuta motherboard bila processor na ram kupunguza gharamaAsante mkuu naweza kuupata wapi na gharama zake km unaweza kunisaidia maana kuna mtu aliniambia ninunue motherboard no any means but naona umenipa jibu la kitaalam zaid
Nipo dar mkuuwe upo mkoa gani? kama ukikosa hiyo tafuta motherboard bila processor na ram kupunguza gharama
Jaribu kupiga windows chini then leta mrejeshoWakuu naombeni msaada wa kiufundi au hata ushauri
Desktop yangu ana ya dell haisupport usb yoyote hivyo haikubali mouse wa keyboard sijajua nafanyaje maana nilipeleka kwa fundi kuwekea Ram sasa sijui km imeaharibiwa huko ama lah lakini naombeni msaada kuna uwezekano wa kurejea kama kawaida na kwa njia gani?
Nawasilisha......
Sawa
kariakoo huwezi kuzikosaNipo dar mkuu
basi kesho mapema nipo kkookariakoo huwezi kuzikosa
hainashidabasi kesho mapema nipo kkoo
Jaribu kupiga Windows chini Kwanza kabla hujaingia hizo gharamabasi kesho mapema nipo kkoo
Polee mkuu,usiingie gharama kubwa za kubadilisha motherboard, issue inaweza kuwa kwenye software......kama computer yako ina cd/dvd rom jaribu kubadilisha hiyo operating system (Windows Os) kwa kuinstall freshy copy ya hiyo Os,pili unaweza kucheck kama usb driver zimekosekana kwa kufanya yafuatayo,Wakuu naombeni msaada wa kiufundi au hata ushauri
Desktop yangu ana ya dell haisupport usb yoyote hivyo haikubali mouse wa keyboard sijajua nafanyaje maana nilipeleka kwa fundi kuwekea Ram sasa sijui km imeaharibiwa huko ama lah lakini naombeni msaada kuna uwezekano wa kurejea kama kawaida na kwa njia gani?
Nawasilisha......
Swali kubwa ishu ni kwamba usb zote hazisomi ishu ni matumizi ya mouse na keyboard ndo ishu so siwezi fny loloteRight click atafanyaje wakati ,mouse na keyboard hazifanyi kazi? Ajaribu kupiga chini window
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu asante ila naomba kujua unaweza kupiga window bila mouse wala keyboard maana mlango wa dvd upo ila ishu ndo hizo port maana inawaka halafu inafika sehemu inayokutaka ubonyeze F2 na mchezo ndo unaishiaga hapoRight click atafanyaje wakati ,mouse na keyboard hazifanyi kazi? Ajaribu kupiga chini window
Sent using Jamii Forums mobile app