Raycom mvungi
Member
- Mar 22, 2013
- 79
- 9
Grow up guy!, what a shit!Wadau habari najakwenu mnisaidie nimeamua kuachana na mchumba wng kwa sababu zisizo zuilika tatizo nilikuwa nampenda sana nifanyeje ili ni msahau niwena aman sina marafiki wakuongea nao sinywi pombe sivuti sigara sina weekend mie asubuhi job jion nyumban tafadhali msaada
Naomba uende pm kwake then akusimulie halafu uje umsaidie kupost. . . .anaonekana anahitaji msaada wa ushauri, lakn hajui jinsi aidha ya kutafuta ama kupata!Weka sababu tukusaidie. Unaficha ficha nini. Au ulitaka kumtafuna kabaang!! Akakataa!
Naomba uende pm kwake then akusimulie halafu uje umsaidie kupost. . . .anaonekana anahitaji msaada wa ushauri, lakn hajui jinsi aidha ya kutafuta ama kupata!