Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Inaweza kuwa hacked na hata ukafungiwa usiitumie. Ukiwa connected na Internet uko ktk cyber zone.Haijawa hacked, sema imekuwa attacked na virus. Laptop haiwezi kuwa hacked ila email yako, facebook. twitter yaweza kuwa hacked... wataalamu msaidieni jamaaa
Inaweza kuwa hacked na hata ukafungiwa usiitumie. Ukiwa connected na Internet uko ktk cyber zone.
Kupunguza hayo matatizo na kujua ni program gani inafanya upload/backdoor tumia firewall na block activites zote outgoing kisha uanze kupima request moja moja ukizifungulia mpaka umjue program msumbufu.
Halafu Antivir ni kwa ajili ya virii. Ukitaka fulll package maana yake ununue Internet Security. Nashauri kwa normal usage Ununue Avira Antivir au Avast (package ya Internect Security) au kama unataka overkill Norton!
Jibu zuri sana hili....mkuu kama kuna malware ana upload mafile huyo tunamuita spyware. Sjajua unatumia os gan ila kwa windows 8 ni rahisi kumjua kwa kutumia task manager yake ipo very rich in details. Angalia network usage ya kila processes then ukimuona terminate process. Easy like that
CTO funguka ntumie program gani kudetect hiyo app inayofanya hivi
Comodo Firewall should do the job. Check it in FileHippo.com - Download Free Software