Nisaidien jaman....

Nisaidien jaman....

emmy 2nyi

Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
66
Reaction score
25
nilikua na mpenz ambae tulipendana thanaaaa kwa bahati nzuri mungu kampenda zaidi miez kadhaa ilopita sasa kila nikikaa namkumbuka naumia sana kiasi kwamba najikuta kulia tu.. nifanyeje jaman ili niweze kuwa sawa.?
 
Pole mpendwa..You will heal with time for sure...Jaribu kujiweka busy jichanganye na marafiki usiwe sana peke yako...
 
nilikua na mpenz ambae tulipendana thanaaaa kwa bahati nzuri mungu kampenda zaidi miez kadhaa ilopita sasa kila nikikaa namkumbuka naumia sana kiasi kwamba najikuta kulia tu.. nifanyeje jaman ili niweze kuwa sawa.?

Pole kwa yaliyokukuta, na hali unayoipitia sasa. Wengi kwa namna moja au nyingine wamepitia hali kama unayoipitia wewe. Jitahidi kuikubali hali hiyo ingawa ni vigumu, nasi kwa pamoja tunakuombea upate faraja za Muumba. Jaribu kuufanyia kazi ushauri wa mimi49 hapo juu unaweza kukusaidia.
Kwa mara nyingine tena, pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu kupoteza mpenzi si kitu kidogo, MUNGU akuongoze na akusahaulishe na yote yaliyotokea.
 
Pole Mungu atakufuta chozi lako.....najua inauma sanaaaa lakin Tumwachie Muumba.
Kilichobaki nikumuombea tu!!!!!!!
 
pole sana,Mungu ndie awezae na apangae yote mshukuru kwa yote maana ana mipango na wew,jipe moyo na kama wew ni mkristo au mwislam bas jikite kumjua mungu zaidi na pendelea kujisomea story mbalimbali za kufurahisha,jichanganye michezoni utasahau na utaona ni kawaida
 
pole sana,,,,,, just remember time is a Great healer , kadri muda unavyoenda utarudia tu maisha ya kawaida.
 
Pole sana Mkuu usipende kukaa pekee yako pekee yako, lakini kila unapomkumbuka na kujisikia kulia hakuna ubaya kulia maana kulia inasaidia kuondoa donge lako la kumpoteza mpenzi wako. Wanasema kulia ni therapy ya aina yake ambayo inasaidia sana katika kumaliza usongo uliokuwa nao na hatimaye ukubali kwamba kazi ya Mungu haina makosa. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi na akupe nguvu na faraja ili uweze kusonga mbele na maisha yako ya kila siku~AMEN. Pole sana Mkuu.

nilikua na mpenz ambae tulipendana thanaaaa kwa bahati nzuri mungu kampenda zaidi miez kadhaa ilopita sasa kila nikikaa namkumbuka naumia sana kiasi kwamba najikuta kulia tu.. nifanyeje jaman ili niweze kuwa sawa.?
 
Jaman pole sana emmy 2nyi, time heal all wounds. . .get courage atatokea mwingine utasahau tu!
 
Last edited by a moderator:
god bless you and give you courage to overcome that
 
^^
Kila jambo hutokea kwa maana yake..
Futa machozi
Ruka viunzi
Hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho.
^^
 
nilikua na mpenz ambae tulipendana thanaaaa kwa bahati nzuri mungu kampenda zaidi miez kadhaa ilopita sasa kila nikikaa namkumbuka naumia sana kiasi kwamba najikuta kulia tu.. nifanyeje jaman ili niweze kuwa sawa.?

Najua maumivu yake,imewahi kunitokea miaka kadhaa iliyopita,lakini usijali bali mshukuru mungu kwa kila jambo
 
Lia kadri unavyoweZa

Sali sana

Binafsi ilinichukua mwaka mzima kuweza kusonga mbele

Jipe muda wa kumaliza huzuni yako

Jipe muda wa kuaaccept reality

Jipe muda wa kusimama na kusema inatosha, maisha na yaendelee....
 
Pole sana.muombe mungu jipe moyo utashinda.
 
duh,pole sana, sali sana....simamia hapa ....1kor 10:12-13...hyo hali itaisha with tym
 
nilikua na mpenz ambae tulipendana thanaaaa kwa bahati nzuri mungu kampenda zaidi miez kadhaa ilopita sasa kila nikikaa namkumbuka naumia sana kiasi kwamba najikuta kulia tu.. nifanyeje jaman ili niweze kuwa sawa.?
Pole sana.
Lia kila utakapojisikia na kama mna watoto pamoja jua utalia sana tu.
Sali sana na usiache kumuombea pia.
Mungu atakutia nguvu.
 
Back
Top Bottom