Nisaidie maelezo rahisi ya Square meter( m²)

Lina urefu wa mita 10 na upana wa mita 10, umeishia darasa la ngapi?
 
Square(mraba) uwe na urefu na upana wa mita moja
Inamaana sasa kama eneo ni la 100m²,maana yake lina miraba 100 yenye urefu na upana wa mita moja kila mmoja.
Upo sahihi, ila maelezo yako hayako simple enough kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…