Nisaidie maelezo rahisi ya Square meter( m²)


Hii ataiona kubwa sana mkuu ukilinganisha na uhalisia wa ardhini. Unapoambiwa eneo lina 100sqm maana yake ni kuwa ila wastani wa miguu 10 kwa miguu kumi. Na kwa haraka hilo ni eneo linalomezwa na nyumba moja tuu yenye urefu wa 10m na upana wa 10m na huwezi kuweka ata fensi.
 
Squre meter ni SI unit ya area.

So ukitafuta eneo la umbo lolote jibu linopatikana linakuwa na unit ya square meter.

Kama eneo lako ni 100square meter ili kupata vipimo vya eneo lako yapasa useme eneo lako Lina umbo gani

Je Ni
1.mstatiri
2.mraba
3.pembetatu
4.duara
5.trapeza
6.tufe. Etc
 
Nadhani sasa ataelewa
 

Attachments

  • mraba.jpg
    64.4 KB · Views: 87
Ha ha JF hatari jamaa anasema pembetatu unaweza kuelezea square meter 100 je ikiwa square meter 1 jamani acheni utani
 
Twende kwa vitendo mkuu mwenzangu. Hatua moja iliyoshiba kidogo ni sawa na urefu wa mita moja. Hivyo basi eneo lenye hatua kumi upana na hatua kumi urefu, ni eneo lenye mita za mraba 100. Si lazima liwe eneo la hatua 10 kwa 10. Laweza kuwa hata eneo la hatua 20 kwa 5, nalo ni eneo lenye ukubwa wa mita mraba 100. Cha msingi ni hizo number 2 za upana na urefu ukizidisha, jibu liwe 100. Mfano rahisi ni hatua 2 kwa hatua 50, au hatua 1 kwa hatua 100. Ukubwa wa maeneo yote hayo mawili ni mita mraba 100.
"Like" kama umeelewa.
 
Asante kwa maelezo rahisi
 
Hapa umeeleweka mkuu,ndicho nilikua nataka kuelewea kwa picha halisi ya kuliko kinadharia
 
Hapana mkuu, nikikutana na matangazo ya uuzwaji nyumba,viwanja nk hua natamani nipate picha halisi ya ukubwa na eneo hata kama sijaliona,Mara nyingi inakua katika m².
Vp unataka uuziwe eneo lenye ukubwa wa sqmt 100 nini?

Ova
 
Hapana mkuu, nikikutana na matangazo ya uuzwaji nyumba,viwanja nk hua natamani nipate picha halisi ya ukubwa na eneo hata kama sijaliona,Mara nyingi inakua katika m².
Ok.....ni vzuri kutaka jua

Ova
 
Eeeh baba

Asipoelewa hapa

[emoji28][emoji28]
 
Ni sawa na vipimo kwa urefu zidisha na upana wa eneo. Mdau ameshakuambia mfano ni mita kumi kwa kumi, au moja kwa mia kwa vyovyote vile jibu liwe 100.
 
Sawa mkuu
Ni sawa na vipimo kwa urefu zidisha na upana wa eneo. Mdau ameshakuambia mfano ni mita kumi kwa kumi, au moja kwa mia kwa vyovyote vile jibu liwe 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…