Nisaidie kuitafsiri picha

Usiku wa jana manzi alilewa akakata moto,kumbe jamaa ni"mende"kamla tope.
Manzi anamlaumu msela uku akilia"kwanini umenifanyia hivyo lakini jamani"
jamaa kamwambia"nilivyoona umevaa kikuku nikajua yaliyomo yamo"
 
Sababu itakuwa ni hizi 10 zifuatazo:-
1. Jamaa alijisifu ana uwezo wa hatari kumbe kamoja chali.
2. Jamaa kakata seal.
3. Jamaa alimuahidi binti wa watu ukija gheto tutatulia tu mwisho wa siku kamla kimasihara.
4. Binti hakuwa tayari kugongwa siku hiyo.
5. Jamaa itakuwa kamwagia ndani siku ya hatari.
6. Binti kaliwa na side B.
7. Binti kakuta msg za binti mwingine kwenye simu ya jamaa.
8. Baada ya game kavu kavu jamaa katangaza ni mwathirika.
9. Jamaa baada ya kupiga game, katangaza hana mpango wa ndoa na huyo binti.
10. Usikute jamaa aliahidi hela kwa ajili ya Krismass mwisho wa game kumbe hana hela!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Dah! kweli hizi point zimekutoka ukiwa high
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…