Nisaidie kufanya udahili wa vyuo vikuu

Nisaidie kufanya udahili wa vyuo vikuu

Subiri mpaka tarehe 22/07/2017 Bdo TCU wanafungua udahili kwa taarifa zaidi tembelea www.tcu.go.tz kisha bofya admission procedures for 2017/2018
 
Udahili? anyway unazungumzia jinsi ya kuomba kwa ninachokisikia sasa, ni kwamba maombi ni moja kwa moja chuo husika sio tena kama mara ya kwanza online kwenye website ya TCU
 
Back
Top Bottom