Samahani lakini,
Huu ni ushauri tu endapo ikitokea umekosa humu jf,
Kama kweli unania ya dhati na unataka kuoa,
Hapo katavi kuna wanawake wengi sana wenye tabia njema,
Mfano unaweza kwenda mpanda maeneo ya kasimba, tembea tembea angalia ukiona binti unayependezwa naye, mchunguze kupitia hata majirani ukiridhika, kusanya wazee hata wawili nenda nao mpaka kwenye hiyo familia then sema umekuja kuchumbia watakuuliza yupi utamtaja, ataletwa hata kama hajawahi kukuona usiogope kwani wengi wameoa kwa njia hii na inatambulika kimila na desturi za Tanzania,
Nakuhakikishia utaoa ndani ya siku chache,
Kuoa ni utayari wako tu,
Hata leo mtu akitaka kuoa anaoa.
Sema wengi hampo serious