Nipo tayari kwa mapambano

Naomba uweke kumbukumbu sawa. el siyo waziri mkuu msfaafu bali ni WAZIRI MKUU ALIYEJIUZULU KWA SHINIKIZO ZA BUNGE LILILOMTUHUMU KUKIUKA MAADILI YA UONGOZI KATIKA SAKATA LA MKATABA WA KIFISADI WA RICHMOND.
 
Mweshimiwa nakushauri uachane tu huko kwani ubinafsi ulio nao hautakuacha ufanye unayosema kumbuka kwamba wakati ukiwa Waziri haukuwa na muda wa kutoa michango ya Harambee kama ilivyo sasa.Alafu naomba nikukumbushe wewe kama kiongozi Umipitisha maji hapa Ngaramtoni kwenda Monduli laki hujatuwekea hata tawi moja wakati unajua kwqamba Ngaramtoni kuna tatizo la maji.Je utakapo kuwa Raisi si uataihamisha hata bahari iende Mondulu?
 
HARUFU ya Epa ,richmonduliiiiii,tangold,Meremeta ,kagoda, = ufisadi
nazihisi hapa
 
Kasema yupo tayari kwa mapambano
Kwanini tusimuamini?
OTIS

mapambano gani anayosema?huyu amekuwa serikalini tangu miaka ya sabini, kafanya nini? utajiri wake umeibuka ghafla kwa speed ya ajabu alipoingia wizara ya ardhi, kajimilikisha maeneo kibao masaki, mbezi , kajenga majengo mengi kwa fehdha za kifasadi na baadhi ya majengo hayo yanatumika ka ofisi za mabalozi mjini humu! huyu jambazi na ipo siku tutamkamata, i swear to God, kila kitu kina mwisho wake!
 
Hii sala inatisha? Lakini ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…