Mkuu, kumbukumbu ni jambo la msingi sana, .....wa wanyonge, kama unakumbuka alikula kwa mama ntilie pale airport, alifagia pale mwambaoni, alipanda pantoni kikawaida kabisa. Nini kikufanye udhani hawezi kupanda ALLYS? Kama vivo ndivyo, gharama hiyo ni ipi sasa?
Jamaa amemuomba kinyonge, bila shaka anaweza kwenda KINYONGE.