Nipo tayari kulipa gharama zote za nauli, chakula na usafiri kwa Rais Magufuli akikubali kuja Nyamongo Tarime, Mara

Hahahahaaaa hii nchi mambo yamekuwa magumu mpka wengine mnaanza kuwa wehu sasa........umesema upo tayar kumfanyia nini Ili aje kwenu????????????
Mkuu, kumbukumbu ni jambo la msingi sana, .....wa wanyonge, kama unakumbuka alikula kwa mama ntilie pale airport, alifagia pale mwambaoni, alipanda pantoni kikawaida kabisa. Nini kikufanye udhani hawezi kupanda ALLYS? Kama vivo ndivyo, gharama hiyo ni ipi sasa?

Jamaa amemuomba kinyonge, bila shaka anaweza kwenda KINYONGE.
 
Kama unamudu kugharamia safari ya rais na msafara wake unashindwaje kusimika miundombinu ya kusambaza maji?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom