Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Hili lako ni wazo zuri sana kama short term solution. Serikali au hata NGOs zinaweza kuweka mazingira ili wataalamu mbalimbali waweze kujitolea in a coordinated manner. Hata, inaweza isiwe bure lakini wanaojitolea angalau wakawezeshwa kidogo - e.g. usafiri, accomodation - kwa maeneo ya mbali (na hata wakiamua wenyewe kujitolea bure kama unavyopendekeza). Nimewahi kufanya hivyo miaka ya tisini na kwa kweli ni masaada mkubwa kwa baadhi ya shule. Unakuta nyingine hazina kabisa walimu wa masomo fulani, so akipatikana mtu wa kujitolea hata weekend tu ni msaada mkubwa mtu. Ni suala la serikali kuweka mazingira mazuri tu ya watu kujitolea.Katika harakati za kitaifa za kuokoa elimu yetu ya Tanzania,niko tayari kufundisha BURE masomo ya ziada ya Sekondari kwa kidato cha nne. Mimi si Mwalimu kitaaluma....ni Mwanasheria. Lakini,niko tayari kuongeza nguvu hasa katika Shule za Kata. Ratiba zangu zinanipa nafasi siku ya Jumamosi tu kuanzia asubuhi.
Niko tayari kwa kuanzia Mkoa wa Pwani Wilaya yangu ya Kibaha au Mkoa wa Dar es Salaam Wilaya niishiyo ya Kinondoni. Nawaombeni wenzangu wenye uwezo kama mimi mniunge mkono.Malipo nitayapata kwa Mungu.Angalau tupunguze tatizo la upungufu wa Waalimu. Silengi kudharau Walimu waliopo...nalenga kuimarisha na kuongeza nguvu.Matatizo mengine nayo yataisha taratibu.
Masomo niyawezayo kufundisha ni ya Historia,Kiingereza,Kiswahili,Jiografia na Siasa. Wakuu wa Shule,wasilianeni nami kwa:
Simu: 0713 111171 au Imaili: pemselewa@hotmail.com
Kaibuni tuiokoe elimu yetu
Kwa sasa hiyo option itakuwa ni kuidhalilisha zaidi serikali.
Hili lako ni wazo zuri sana kama short term solution. Serikali au hata NGOs zinaweza kuweka mazingira ili wataalamu mbalimbali waweze kujitolea in coordinated manner. Hata, inaweza isiwe bure lakini wanaojitolea angalau wakawezeshwa kidogo - e.g. usafiri, accomodation - kwa maeneo ya mbali (na hata wakiamua wenyewe kujitolea bure kama unavyopendekeza). Nimewahi kufanya hivyo miaka ya tisini na kwa kweli ni masaada mkubwa kwa baadhi ya shule. Unakuta nyingine hazina kabisa walimu wa masomo fulani, so akipatikana mtu wa kujitolea hata weekend tu ni msaada mkubwa mtu. Ni suala la serikali kuweka mazingira mazuri tu ya watu kujitolea.
Njia nyingine ni kutumia hawa wanafunzi waliofanya vizuri kidato cha sita badala ya kuwapeleka JKT, wanaweza kuandaliwa kwa muda na kusimamiwa vizuri (hata kama ni through JKT) wakaweza kusaidia kufundisha o-level katika shule sisizo na waalimu - kabla ya kwenda kujiunga na vyuo vikuu.
Lakini kubwa zaidi ni kuboresha mazingira ya walimu waliopo ili waweze kuwa productive zaidi. Kuna watu wengi tu wana uwezo mzuri wa kuwa walimu lakini wakifikiria mishahara na thamani wanayopewa walimu hapa kwetu, wengi wa watu hao huamua kufuata mikondo mingine ya kitaaluma!
Hebu fikiria hivi: Wewe kama baba jukumu lako la msingi sana ni kuilisha (= to cater for) familia yako. Sasa ushindwe jukumu hili la msingi(siyo kwa sababu ya ugonjwa, ulemavu etc bali tu kwa sababu wewe umeamua kula bata) halafu vidume mitaani vikuambie mzee wala usiwe na tabu sisi tutakusaidia kuilisha familia yako kuanzia leo free of charge. Hiyo utaiita kitu gani??/Kwanini Mkuu?
Katika harakati za kitaifa za kuokoa elimu yetu ya Tanzania,niko tayari kufundisha BURE masomo ya ziada ya Sekondari kwa kidato cha nne. Mimi si Mwalimu kitaaluma....ni Mwanasheria. Lakini,niko tayari kuongeza nguvu hasa katika Shule za Kata. Ratiba zangu zinanipa nafasi siku ya Jumamosi tu kuanzia asubuhi.
Niko tayari kwa kuanzia Mkoa wa Pwani Wilaya yangu ya Kibaha au Mkoa wa Dar es Salaam Wilaya niishiyo ya Kinondoni. Nawaombeni wenzangu wenye uwezo kama mimi mniunge mkono.Malipo nitayapata kwa Mungu.Angalau tupunguze tatizo la upungufu wa Waalimu. Silengi kudharau Walimu waliopo...nalenga kuimarisha na kuongeza nguvu.Matatizo mengine nayo yataisha taratibu.
Masomo niyawezayo kufundisha ni ya Historia,Kiingereza,Kiswahili,Jiografia na Siasa. Wakuu wa Shule,wasilianeni nami kwa:
Simu: 0713 111171 au Imaili: pemselewa@hotmail.com
Karibuni tuiokoe elimu yetu
kafundishe uzidi kuferisha wanafunzi kwa tamaa ya hela uzalishe bomu jingine tenaKatika harakati za kitaifa za kuokoa elimu yetu ya Tanzania,niko tayari kufundisha BURE masomo ya ziada ya Sekondari kwa kidato cha nne. Mimi si Mwalimu kitaaluma....ni Mwanasheria. Lakini,niko tayari kuongeza nguvu hasa katika Shule za Kata. Ratiba zangu zinanipa nafasi siku ya Jumamosi tu kuanzia asubuhi.
Niko tayari kwa kuanzia Mkoa wa Pwani Wilaya yangu ya Kibaha au Mkoa wa Dar es Salaam Wilaya niishiyo ya Kinondoni. Nawaombeni wenzangu wenye uwezo kama mimi mniunge mkono.Malipo nitayapata kwa Mungu.Angalau tupunguze tatizo la upungufu wa Waalimu. Silengi kudharau Walimu waliopo...nalenga kuimarisha na kuongeza nguvu.Matatizo mengine nayo yataisha taratibu.
Masomo niyawezayo kufundisha ni ya Historia,Kiingereza,Kiswahili,Jiografia na Siasa. Wakuu wa Shule,wasilianeni nami kwa:
Simu: 0713 111171 au Imaili: pemselewa@hotmail.com
Karibuni tuiokoe elimu yetu
kafundishe uzidi kuferisha wanafunzi kwa tamaa ya hela uzalishe bomu jingine tena
Asante Mkuu kwa kunisaidianlidhani hujui kusoma pekee,. Kumbe hata kuandika hujui eti ''kuferisha'' hovyooo... WAPI AMEANDIKA ANATAKA MALIPO YA KUJITOLEA!!!!!?? wewe zunde kweli
Pole Mkuu.Usikate tamaa lakini.Peleka tena hoja yako usaidie wadogo zako.Hali ni mbaya...ni tete!Hata mie nakuunga mkono, but mpaka NGO's coz hawa mahead masters/mistress wanabana. Wazo hlo niwaomba but walgoma so mie nmepotezea may ntatafta private kwan hz za kata du. ndg tatzo co uhaba wa walim mashulen coz hawajaajl teachers weng nikwemo nam
Sidhani kama kuajiri form six leavers kutamaliza tatizo.Kuna sababu chache nazifahamu ambazo hufanya wakuu wawakatae form sixmkuu wazo lako n zur xana na hongera kwa moyo wako wa uzalendo..tatizo la walmu katk shule za kata linaweza pia kupatiwa ufumbuz kwa kuajir vijana waliomaliza form six pia kabla ya kuingia mavyuon lakn weng wa walmu wakuu.huwa wnawakata hawa vijana kwa kcngzio kwamba shule haina hela wakat wanafunz huwa wanatoa michango ya taluma.nahc pia hat mfumo wa huk mashulen uangalwe upya.
Ni sawa usimacho ila mtoa maada ameangalia zaidi waathirika ambao ni watoto wasio na hatia, hata kwa mfano wako huo huwezi saidia mtoto ambaye ameshinda na njaa kwa sababu zisizo za msingi za babaye?Hebu fikiria hivi: Wewe kama baba jukumu lako la msingi sana ni kuilisha (= to cater for) familia yako. Sasa ushindwe jukumu hili la msingi(siyo kwa sababu ya ugonjwa, ulemavu etc bali tu kwa sababu wewe umeamua kula bata) halafu vidume mitaani vikuambie mzee wala usiwe na tabu sisi tutakusaidia kuilisha familia yako kuanzia leo free of charge. Hiyo utaiita kitu gani??/
Inawezekana wakawa wanafanya hivyo kwa kukosa muongozo mbona wengine tumesoma mjini na tulikuwa buzy sana shule kwa kuwatumia watu ambao sio walimu kwa taaluma pale mchikichiniShule zenye nidhamu tu ndio zinaendelea kufanya vizuri,zile ambazo wanafunzi wake wanawaza disco,picnic,facebook,mapenzi kamwe hata uende kusaidia usitegemee mabadiliko.
Kwa shule za vijijini naweza kusema tatizo la walimu linachangia sana lakini kwa shule za mjini nadhani ukienda kujitolea utakuwa unapoteza muda wako.Kwa mazingira uliyotaja sikushauri ukapoteza muda, kama huamini tafuta shule ukafundishe halafu utakuja kutoa majibu.Ingekuwa kijijini ningekusapoti ila kwa mjini mh naona kuna ugumu
Hapa ishu si kutatua moja kwa moja ila ni solution ya muda mfupi kunusuru hawa wanafunzi wakati wahusika wanatatua hili tatizo, mfano kuna sehemu zinajulikana wasomi wapo kama vyuo vikuu tena sshv vimekuwa vingi kweli tunashindwa kuwasaidia hao vijana wasipate ziro, kuna wasomi wengine wapo mitaani bado hawana kazi why wasitumike kwa muda kuokoa jahazi kuliko hivi sasa na hizi zeroSidhani kama kuajiri form six leavers kutamaliza tatizo.Kuna sababu chache nazifahamu ambazo hufanya wakuu wawakatae form six
Mi nimeobserve hayo machache lakini pia kuna wakuu wengine ni vkwazo ktk kuajiri form six.
- Form six wengi huomba temporal work ya kufundisha kipindi ambapo matokeo huwa bado hayajatoka kwa hiyo uwezo wao wa kufundisha au kumaster somo huwa haueleweki
- Ethics za ualimu kidogo huwa ni tatizo,wengi huwa hawana siri za ofisi pia wanaaminika kuwa ni walaji wazuri wa kondoo wanaowachunga
- wengi huwa ni wa masomo ya sanaa,na halmashauri nyingi zinawaagiza wakuu kuajiri walimu wa sayansi tu.
- Huna uhakika wa kuwa form six muda wote kwa sababu anaweza kuondoka muda wowote dili jingine linapojitokeza
- Kuna shule ni kweli zina uhaba mkubwa wa pesa.Hela ya taaluma si kwa shule zote na isitoshe si wanafunzi wote wanatoa.
Ni kweli kuna baadhi wanajituma na ndio wanaofanya vizuri,moja kwa moja inaonesha kuwa internal motivation ilikutuma kusoma.Unajua nimesema wa kijijini ndo wenye shida kwa sababu mjini karibu kila kitu kipo na uhaba wa walimu si kama kijijini,but matokeo yamekuja the same,Ndo maana naendelea kusema zile shule zenye nidhamu ndo zitaendelea kufanya vizuri na wale watoto ambao kutoka kwenye familia wapo tayari kujituma watafaulu the rest ni wastage of time.Nawaonea sana huruma watoto wa vijijini kuliko wa mjini.Inawezekana wakawa wanafanya hivyo kwa kukosa muongozo mbona wengine tumesoma mjini na tulikuwa buzy sana shule kwa kuwatumia watu ambao sio walimu kwa taaluma pale mchikichini
Nakubaliana na wewe kwa kijijini maana wataalamu wengi wanapenda kuishi mjini hata kama hakuna shughuli za maana anafanya, kuna vijiji nilifika yaani unakuta shule ina walimu 2 tu na wanafunzi zaidi ya 100 ki ukweli inasikitisha sanaNi kweli kuna baadhi wanajituma na ndio wanaofanya vizuri,moja kwa moja inaonesha kuwa internal motivation ilikutuma kusoma.Unajua nimesema wa kijijini ndo wenye shida kwa sababu mjini karibu kila kitu kipo na uhaba wa walimu si kama kijijini,but matokeo yamekuja the same,Ndo maana naendelea kusema zile shule zenye nidhamu ndo zitaendelea kufanya vizuri na wale watoto ambao kutoka kwenye familia wapo tayari kujituma watafaulu the rest ni wastage of time.Nawaonea sana huruma watoto wa vijijini kuliko wa mjini.